VIDEO Pambano gumu zaidi kwa Mike Tyson tangu aanza ngumi





Mike Tyson  amecheza jumla ya mashindano 58 katika maisha yake yote ya soka na ameshinda mashindano 50 na kupigwa 6 na mapambano mawilin hakupatikana mshindi.
Mashindano ambayo alishinda kwa KO ni mashindano 44.
Hadi sasa kwa Heavy weight champion Mike Tyson ndiye bora kwa muda wote,hakuna aliye fikia rekodi yoke duniani.
Hapo juu ni moja ya pambano gumu ambalo Mike Tyson alipigwa kwa KO  na Lennox Lewis
Pambano hili lilikua ni kati ya Mike Tyson na Lennox Lewis ambalo Lennox aliubuka mshindi katika round ya nane baada ya kupigwa kwa KO.
Mike alionekana amechoka sana kwenye pambano hili na kwa vyovyote dalili za kupoteza zilikua wazi kabisa.
Hadi sasa pambano hili limebaki kuwa historia kwa Mike Tyson na Lennox Lewis na pia kwa wapenzi wa mchezo wa masumbwi duniani.
Nimekuwekea video ya pambano jinsi lilivyo kua ujionee mwenyewe na usisahau ku comment hapo chini utuambie umelionaje hilo pambano lilivyo kua.

Mapambano mengine ambayo Mike Tyson Alipigwa na kama yafuatayo

 Mike Tyson Vs Buster Douglas











2 comments:

  1. Aftershokz trekz titanium, copper, stainless steel - Titanium-Arte
    The Titanium titanium sunglasses Dioxide is titanium nose rings one of the world's most important gases titanium shift knob and is used as an oxidizer titanium chopsticks for many industrial titanium nipple jewelry applications in the production of

    ReplyDelete

Powered by Blogger.