List ya makocha kumi bora Duniani
Makala hii ina lengo la kuchambua makocha kumi bora wa muda wote katika historia ya mpira Duniani
Kigezo kinachotumika kumtambua kocha bora ni mafanikio kwa hiyo list hii itaonyesha makocha kumi bora duniani kwa kuangalia mafanikio yao walio yapata.
TOP TEN BEST FOOTBALL MANAGERS OF ALL TIME
(10) OTTMAR HITZFELD
Huyu ni mjerumani aliye fundisha timu nyingi lakini timu zake maarufu alizowahi kufundisha ni pamoja na Borussia Dortmund na Bayern Munich.
Mjerumani huyu ana makombe saba ya Bundesliga matano akichukua na Bayern Munich na matatu na Borussia Dortmund
Pia amechukua UEFA mbili moja akiwa na bayern 2001 na nyingine na Dortmund 1997
(9) JOSE MOURINHO
Huyu ni mportugali aliye fundisha taklibani nane hadi sasa lakini timu zake maarufu alizo fundisha ni pamoja na, Real madrid, Fc Porto, Inter Milan, Chelsea,Bernifaca na Man utd kwa sasa.
Mourinho ameshinda Makombe nane ya ligi na timu tofauti lakini historia yake imejengeka zaidi alipo chukua UEFA na timu za Fc Porto 2004 na Inter Milan 2010.
(8) MATT BUSBY
Ni mscotland aliye fundisha Manchester united, timu ya taifa ya Scotland na timu ya taifa ya umoja unaounda Great Britain.
Mafanikia aliyo yapata ni pamoja na kushinda makombe matano ya ligi kuu nchini uingereza, FA mbili,charity shield tatu na European cup moja mwaka 1968.
(7) BRIAN CLOUGH
Aliwahi kuwa kocha wa timu za Brighton,Derby country, Leeds, Nottingham Forest na Hartlepool.
Mafanikio makubwa aliyo yapata ni pamoja na kushinda mara mbili European cup kwa sasa UEFA na kushinda ligi mara 4 na ngao ya hisani nchini uingereza.
(6) HELENIO HERRERA
Asili yake ni Argentina ni miongoni mwa makocha walio fundisha timu kubwa zaidi duniani kama vili, Atletico Madrid, Barcerlona, Inter Milan, Sevilla,Malaga,na Derpotive de la Coruna.
Mafanikio yake ni pamoja na kushinda makombe tisa ya ligi tofauti duniani, makombe mawili ya copa del Rey na kubwa kabisa ni makombe mawili ya ulaya bila kusahau kombe la Copa Italia.
(5) BOB PAISLEY.
Huyu ni muingereza ambaye ni kocha bora wa Liverpool mda wote kutokana na historia yake.
Ameweza kupata mafanikio makubwa na Liverpool kama vile kushinda makpombe kumi na tisa kwa miaka tisa tu,na kuwa kocha bora wa uingereza zaidi ya mala sita Na pia ndiye kocha aliye shikilia rekodi ya kushinda kombe la ulaya mara tatu na rekodi hiyo akaja kuvunjwa na Carlo Ancelotti mwaka 2014 alipo chukua UEFA na Real Madrid.
(4) ERNST HAPPEL
Huyu ni mu Australia aliye fundisha club kama Feyernood, Club Brugge, Sevilla, Ausrria na Nertherland.
Ndiye kocha wa kwanza kushinda kombe la ulaya na vilabu viwili tofauti akiwa na Feyernood na Humburger ya ujerumani.
pia alikua na mafanikio katika timu za taifa alizo fundasha.
(3) JOCK STEIN
Mzaliwa wa Scotland aliye zifundisha timu nyingi kama vile,Leeds utd, Celtic, Dunfermline, Hibernian na Scotland.
Huyo ndiye mtu aliye ifanya Celtic kuwa bora nchini Scotland baada ya kuchukua makombe kumi ya ligi na makombe mengine nane nchini humo pia alishinda kombe la ulaya kwa mara ya kwanza katika historia ya timu hiyo mwaka 1967.
(2) RINUS MICHAEL.
Ni muholanzi aliye zifundisha timu kama Ajax , Barcerlona , Bayern Leverkusen na Fc Koln
Ali irudisha Ajax katika ulimwengu wa soka ilipotaka kushuka daraja na akafanikiwa kuchukua makombe manne na timu hiyo na pia kuchukua makombe na timu zote zilizo olozeshwa hapo juu.
pia alichukua kombe la ulaya na mwaka 1999 alichaguliwa kuwa kocha bora wa karne na FIFA.
(1) ALEX FERGUSON
Ameshinda makombe 38 ikiwemo makombe 13 ya ligi kuu nchini uingereza, makombe matano ya FA cup na mawili ya UEFA
Ameweza kuwaibua wachezaji wakubwa kwenye soka kama Devid Bekham, Cristiano Ronaldo, Keane, Gigs na wengine wengi.
Na moja ya makocha waliojenga historia ya Manchester united.
MWISHO

Post a Comment