MANCHESTER UNITED IMETWAA UBIGWA WA EUROPA
MANCHESTER UNITED IMETWAA KOMBE LA EUROPA LIGI KWA MALA YA KWANZA TANGU KOMBE HILO LIANZISHWE.
MANCHESTER Imepata ubingwa huo baada ya kuifunga AJAX ya uholanzi kwa magoli mawili bila majibu, Magoli yakifungwa na POGBA na Mikitlyan.
Kwa matokeo hayo MANCHESTER itaingi UEFA league moja kwa moja licha ya kumaliza chini ya nafasi nne za juu.
Kombe hili ni lapili msimu huu kwa mancheter united baada ya awali kutwaa kombe la carling cup.
Kombe hili linamfanya MOURINHO kuwa katika list ya makocha walio beba vikombe vingi vya ulaya.
MOURINHO anakua na idadi ya makombe ma nne ya ulaya sawa na kocha wa zamani wa MANCHESTER UNITED SIR ALEX FURGUSON.
Makocha wengine wanaonguna na MOURINHO kwa kua na makombe mengi ya ulaya ni pamoja na
(1) GIOVANNI TRAPATTONI..Vikombe vitano (50
(2) BOB PAISLEY..Vikombe vi nne (4)
(3) NEREO ROCCO..Vikombe vi nne (4)
(4) SIR ALEX FERGUSON..Vikombe vitatu (30

Post a Comment