HISTORIA YA LIONEL MESSI
SEHEMU YA KWANZA
LIONEL MESSI
Jina lake halisi ni Lionel Adres Messi ni mu argentina aliye zaliwa 24 june 1987 nchini argentina na kulelewa central argentina.
Akiwa mtoto Messi alikua ana tatizo la growth hormone deficiency. Alipofika umri wa miaka 13 alienda spain kujiunga na Barcelona na Barcelona ilikubali kumpokea messi na ku ahidi kumtibia matatitizo yake.
Messi alianza kutengeneza historia yake ya mpira alipofika miaka 17 baada ya kucheza kwenye kikosi cha Barcelona mwaka 2004.
Historia ilianza kuwa kubwa baada ya kuanza kupata mafanikio miaka mitatu mbele baada ya kuwa kwenye list ya mchezaji bora wa Dunia.
REKODI ALIZO WEKA
Messi ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa ulaya mara tatu mfululizo (kwa kufuatana), rekodi ambayo haijawahi kuwekwa na mchezaji yoyote.
katika timu yake Messi ndiye mfungaji bora wa Barcelona kwa sasa.
Ni mchezaji aliye chukua tuzo nyingi za mchezaji bora kuliko yoyote.
ITAENDELEA....

Post a Comment