TETESI ZA USAJILI BALANI ULAYA LEO
TETESI MPYA ZA USAJILI BARANI ULAYA
Manchester city wamewapiga bao wapinzani wao Man u kwenye usajili wa mchezaji wa monaco Bernardo silva. Imeripotiwa mchezaji huyo yupo mjini Manchester anafanyiwa vipimo vya afya ili ajiunge na Man city kwa dau la pound 81.
Barcerlona inamtupia jicho Ander Herrera wa Manchester united kama chaguo namba moja kwenye timu hiyo.
Man utd,Totenham,na Juve zinapambana kusaka sign ya winga wa Bayern Douglas Costa.
Chanzo...la stampa.
Tukirudi jijini Manchester Club ya Manchester city ina angalia uwezekano wa kumchukua winga wa Dortmund Pierre Aubameyang baada ya winga huyo kuomba kuondoka clabuni hapo.
Chanzo..The Sun.
Post a Comment