MANARA NA BABRA WA SIMBA WATUKANANA KISA YANGA

HAYA HAPA MAZUNGUMZO YA BABRA NA MANARA WAKITUKANANA. VIONGOZI HAO WA SIMBA SPORTS CLUB WAMETUKANANA MATUSI YA NGUONI KISA YANGA: BONYEZA HAPA CHINI KUSIKILIZA KILA KITU

BONYEZA HAPA JUU KUDIKILIZA MANARA NA BABRA WAKITUKANANA




MANARA ALIANZA KWA KUPOSTI MANENO HAYA INSTAGRAM 

 Hivi vitimbi mnavyonifanyia kila siku kisa Simba vishanichosha ,,,mwisho wa siku mtanitoa roho yangu kabla ya muda wangu... 

Imetosha kwa sasa !!

Ubaya wote ni Haji lakini mafanikio ni yenu nyie Wakubwa.. 
Kila siku ni Haji Haji Haji.. 

Mkitoka kunisingizia hili mtatengeneza cinema nyingine kwangu,,tunashindwa kujua kila Mja Mungu kampa fungu lake,,,,inakuwaje Rizki ya umaarufu wa mwenzio iwahangaishe kiasi hcho?
Likinitokea baya pakuanzia mnapo. 

Asanteni ndugu zangu na Mlipaji ni Mungu na ukweli utajulikana 

No comments

Powered by Blogger.