WASANII KUMI (10) MATAJIRI ZAIDI TANZANIA
WASANII TAJIRI ZAIDI TANZANIA/ WASANII WENYE PESA NYINGI ZAIDI TANZANIA /WASANII WENYE MALI NYINGI ZAIDI TANZANIA.
Hii ni list ya wasanii matajiri zaidi tanzania na kwenye list hii tunatalajia wasanii wa muziki nchini tanzania bila kujali aina ya muziki wanaoimba iwe ni bongofleva au hiphop.
1. DIAMOND PLATNUM (NASEB ABDUL)
Huyu ni msanii mkubwa nchini Tanzania na historia ya diamond platnum inaonyesha alizaliwa mwaka 1989 mjini Dar es salaam.
Diamond platnum ni mwanzilishi wa lebel ya WASAFI (WCB) iliyowatoa wasanii wengi nchini Tanzania kama vile Harmonize (Konde Boy), Ray Vanny, Zuchu, Lava Lava, Queen Darlin na Mbosso. Kupitia Lebel ya WCB wasanii hawa wameweza kutambulika kwenye kiwanda cha muziki wa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Diamond anaaminika kuwa ni msanii tajiri zaidi Tanzania kupitia kazi yake ya muziki ambayo inamuingizia kiwangu kikubwa cha pesa. Kulingana na mtandao wa Forbes ambao ulitoa list ya wasanii matajiri zaidi Africa diamond ameweza kuwa na utajiri wa bilioni kumi na moja ambayo ni sawa na $5000000.
Pangine utajiuliza ni vyanzo vipi ambavyo vinamuingizia diamond pesa nyingi na jibu ni kuwa diamond anaingisa pesa nyingi kupitia show, youtube, uzamini wa matangazo na mapato kupitia wasanii waliopo chini ya lebel yake.
Kpitia mtandao wa youtube diamond ameweza kujingizia zaaidi ya milioni 80 kwa mwezi na hizi ni baadhi ya nyimbo zilizomuingizia pesa zaidi. DIAMOND PLATNUM FT KOFFI OLOMIDE WAAH ilifanikiwa kuingiza milioni 39 ndani ya mwezi. DIAMOND FT INNOSB YOPE REMIX iliingiza milioni 20 ndani ya mwezi mmoja na nyimbo nyingine nyingi. Diamond pia ndiye msanii anayeongoza kwakua na tunzo nyingi Tanzania na pia diamond anamiliki magari ya kifahali kama ROLLS ROYCE NA ESCAREDE
2. AY (AMBWENE YESAYA )
Huyu ni msanii wa zamani akitoke kundi la East Coat Team na kwasasa hajishughulishi sana na muziki bali biashara mbali mbali ambazo zimempa mafanikio makubwa katika miaka ya karibuni. Anakadiliwa kuwa na utajili wa bilioni tatu ambao ni matoke ya biashara zake.
3. MWANA FA
Kama ulika hujua basi tambua kuwa msanii mwana fa ni miongoni mwa wasanii matajiri Tanznia na kwa sasa msanii huyu ana hudumu nafasi ya ubunge kwenye bunge la jamuhuli ya muungano wa Tanzania. Msanii huyu ni mfanya biashara na pia aliwahi kujipatia bilioni mbili kama fidia kutoka kwenye kampuni ya tigo baada ya kampuni hiyo kutumia wimbo wao bila makubaliano.
4. ALIKIBA
Alikiba ni miongoni mwa wasanii matajiri tanzania kutokana na kujiingizia pesa kupitia kazi yake ya mziki kwa miaka mingi sasa. msanii huyo mwenye zaidi ya miaka 20 kwenye muziki ameweza kujenga nyumba ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya bilioni moja ambayo ni matokoe ya mziki alio ufanya kwa muda mrefu sasa. Pia msanii huyu ameweza kuwa balozi wa makampuni mbali mbali ya bizaa tanzania kutokana na ushawishi wake. Msanii huyu pia ni mmiliki wa lebel ya kings music ambayo inawasanii mbalimbali. Alikiba pia ameweza kupata mafanikio kupitia nyimbo zake kama , ndombolo by alikiba, Salute alikiba ft psquare, mshumaa by alikiba na nyimbo mbali mbali ambazo unaweza kuzipata mitandao mbali mbali na kuzi download au kuzitazama.
USIKOSE KUFUATILIA SEHEMU YA PILI YA MAKALA HII AMBAYO ITAKULETEE WASANII WALIOBAKIA AMBAO NI MATAJIRI ZAIDI TANZANIA
Post a Comment