TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO

          LEO TAREHE 25 MAY 2017 TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA

Imeripotiwa na gazeti la METRO nchini uingereza kwamba Manchester united wapo karibu kumchukua Antonie Griezman kutoka A..madrid kwa kitita cha
 pound 86 million. Griezman alikua ikataka kusajiliwa na timu inayo cheza UEFA na Man u itacheza ligi ya Uefa baada ya ushindi wa Europa hapa jana.

Beki wa R.Madrid PEPE huenda akajiunga na Inter milan ya italia msimu huu. Imeripotiwa na AS kwamba Inter milan tayari imeonyesha nia ya kumchukua mchezaji huyo aliye dumu mda mrefu clubuni hapo.

Mshambuliaji wa R.Madrid Alvaro morata inawindwa na club ya Ac Milan ya Italia ambayo imeonyesha nia ya kutaka huduma ya mchezaji huyo.
Mbali na Ac Milan kumwinda bado club nyingi za uingereza zina tafuta sign ya mchezaji huyo.


No comments

Powered by Blogger.