JOSE MOURINHO KATIKA REKODI BORA DUNIANI

                      JOSE MOURINHO THE SPECIAL ONE
 Kocha wa Manchester united Jose Mourinho ameingia katika rekodi bora duniani Baada ya kucheza fainali yake ya 14 na kuchukua 12 kati ya fainali hizo.
Fainali hizo ni pamoja na fainali mbili alizo cheza kwenye UEFA  na kuchukua zote mbili.
Fainali zingine ni fainali za EUROPA league ambazo Mourinho amecheza mbili na kuchukua zote mbili.
Kwa vikombe hivi vinne Morinho ameweka rekodi ya kocha wa kwanza duniani kushind vikombe viwili vya Uefa na viwili vya Europa league.
Fainali nyingine ambazo Mourinho ameshinda ni pamoja na fainali ya Cpa Italia akiwa na Inter Milan, fainali ya FA cup ya nchini Uingereza ,fainali ya kombe la portugal cup pamoja na yale aliyo yachukua Spain akiwa na R.Madrid.

Kwa uwiano huo wa vikombe alivyo chukua Jose Mourinho inamfanya kuwa moja ya kocha bora zaidi duniani kwa sasa kwani amejitengenezea rekodi ambaye haijafikiwa na makocha wengi duniani.
Kocha huyo raia wa portugal kwa sasa ameshapata mafinikia mengi yanayo weza kukufanya kumwita jina analo lipenda la spacial one.

No comments

Powered by Blogger.